Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 7, 2023

Hujambo na karibu kusoma vichwa vya habari vilivyosheheni kwenye magazeti ya Tanzania siku ya leo Jumanne…

Haji Manara Awaomba Mashabiki Kumuombea Binti Yake

Vifaru vya Magharibi Vinaweza Visifue Dafu Ukraine – FT

Vifaru vya M1 Abrams ambavyo Washington hivi majuzi iliahidi kwa Ukraine huenda vikaishia kuwa dhima badala…

Israel Kufikiria Kuipa Silaha Ukraine

Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu amesema kuwa Israel itachunguza kwa makini uwezekano wa kuipatia Ukraine silaha za…

Marekani Kuiruhusu Ukraine Kurusha Makombora ya Masafa Marefu Kwa Urusi

Ni juu ya serikali katika Kiev kuamua jinsi ya kutumia makombora  mapya yanayotolewa kwa ajili ya…

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 4, 2023

Habari za asubuhi mepenzi msomaji na ni matumaini yetu umeamka salama na nguvu tayari kwa ajili…

Rais Samia Afanya Uteuzi Leo Februari 3

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi wa…

Ruti Mpya za Kigamboni, Wenye Daladala Wakaribishwa

Mamlaka ya Udhibitu Usafiri Ardhini (LATRA) inawakaribisha wasafirishaji kuomba leseni kwenye njia mpya za daladala Dar…

Putin Atoa Onyo kwa Magharibi

Rais wa Urusi Vladimir Putin amekashifu uwasilishaji wa vifaru vilivyotengenezwa Magharibi kwa Ukraine, akionya kwamba jibu…

Habari kubwa Magazetini Tanzania leo Februari 3, 2023

Habari za asubuhi mepenzi msomaji na ni matumaini yetu umeamka salama na nguvu tayari kwa ajili…

Korea Kasikazini Yatishia “Nyukilia kwa Nyukilia

  Korea Kaskazini imeahidi kujibu tit-for-tat kwa vitisho vyovyote vya usalama kutoka Washington na Seoul, ikiwa…

Zitto amtaka Biswalo, Jaji Mkuu Kujiuzulu

Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe amewataka Jaji Mkuu na Jaji Biswalo wajiuzulu ili…

Urusi Inasubiri kwa Hamu Kuchoma Vifaru vya NATO

Pesa imehaidiwa kwa wanajeshi kutoka wa wafanyabiashara na maafisa wa Urusi kwa kuharibu zana za kijeshi…

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 2, 2023

Habari za asubuhi mdau wa Opera News karibu ujiunge nasi kutazama kile kinachojili kwenye magazeti ya…

Ukraine Inastahili Uanachama wa NATO – Czech

Ukraine inapaswa kuruhusiwa kujiunga na NATO “mara tu vita vitakapokwisha,” kulingana na Rais mteule wa Jamhuri…

Rushayna Afunguka kurudiana na Manara

Baada ya maneno mengi kusemekana mitandaoni kuhusu kuachana kwao, Rushayna amefunguka mengi kuhusiana na kuachana kwake…

Mbunifu Jezi za Yanga Afokewa

Wakati wa joto la kutambulisha uzi wa Yanga utakaotumika kimataifa haujapoa baadhi ya mashabiki haswa wa…

Zitto Aendelea Kuwa Sahihi Aliyoyaibua Enzi za Magufuli

Kiongozi wa ACT Wazalendo na chama chake wamepokea sifa kutokana na kuwa sahihi katika kuibua na…

Magazeti ya Leo Jumatano Februari 1, 2023

Habari za asubuhi mdau wa Opera News karibu ujiunge nasi kutazama kile kinachojili kwenye magazeti ya…

Raia Ujerumani Waandamana Kisa Vikwazo vya Urusi

Wakazi katika jiji la Nuremberg walishiriki katika maandamano dhidi ya kutuma mizinga kwa vikosi vya Kiev.…

Jezi ya Yanga Yapondwa Vibaya- Wameiga!

Siku ya jana bwana imeisha hivi..wanajagwani hao wamejikusanya zao na kuita wahandishi wa habari tayari kutambulisha…

Simba Hawataboi Club Bingwa- Ngereza

“Simba hawatafanya vizuri Kimataifa msimu huu” Ni kauli ya Alex Ngereza  mchambuzi mashuhuri wa soka nchini…

Diamond Atoa Tamko ‘Yatapita’

Msanii Diamond Platnumz ambaye kwa sasa anatamba na kibao kipya cha ‘yatapita’ ametoa tamko kuhusu wimbo…

Rais wa Ufaransa Muongo: Erdogan

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amesema Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron “si mkweli”, akisisitiza kuwa…

Marekani Yakanusha Kuishambulia Iran

Pentagon imekanusha kuwa wanajeshi wa Marekani walishiriki katika shambulio la ndege isiyo na rubani Jumamosi iliyopita…

Manzoki Ashambuliwa Hatari

“Walijua nitavaa nguo za kinyoka nyoka” Ni moja ya kauli aliyoitoa Caeszar Manzoki alipopewa nafasi ya…

Kenyans’ Top 10 Favorite Online Games

Just like every other nation in the world, Kenyans also love to unwind by playing various…