Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 7, 2023

Hujambo na karibu kusoma vichwa vya habari vilivyosheheni kwenye magazeti ya Tanzania siku ya leo Jumanne ya tarehe 7 mwezi wa pili ya mwaka 2023.

Yaliyojiri kwenye magazeti mengi ni ule mwendelezo wa stori ya ajali iliyoua watu 20 hukom mkoani Tanga. Magazeti karibia yote yamegusia namna ya miili ilivyozikwa na Simanzi iliyotawala mkoani Kilimanjaro.

Na katika michezo stori inayoangaliwa kwa undani ni kushiriki kwa Simba na Yanga kwenye michuano ya kimataifa. Karibu;

 

        

     

  

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *