Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 4, 2023

Habari za asubuhi mepenzi msomaji na ni matumaini yetu umeamka salama na nguvu tayari kwa ajili ya mapambano siku ya leo. Haya hapa magazeti tumekuosgezea ya nchini Tanzania kwa siku ya leo jumamosi tarehe 4 mwezi wa pili mwaka 2023.

Na kilichopo kwenye magazeti siku ya leo ni muendelezo wa stori juu ya kung’olewa kwa Sheikh Mkuu wa Dar es salaam baada ya kufutwa kazi na huku mrithi wake akifunguka.

Karibu;

        

 

  

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *