Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 2, 2023

Habari za asubuhi mdau wa Opera News karibu ujiunge nasi kutazama kile kinachojili kwenye magazeti ya Tanzania siku ya leo Jumatano. Stori kubwa kwenye magazeti ya leo ni muendelezo wa stori ya wizi wa mabilioni ya watu waliokiri makosa. Habari nyingine kwa undani ni juu ya Benki kuu kuambiwa kuangalia upya tenda ya kuchapa noti na zaidi ni issue aliyozungmza Samia pamoja na wapinzani kuhusu muundo wa utoaji haki nchini.

Huko Yanga na Sportpesa hakuna nafuu. Karibu;

        

   

  

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *