Magazeti ya Leo Jumatano Februari 1, 2023

Habari za asubuhi mdau wa Opera News karibu ujiunge nasi kutazama kile kinachojili kwenye magazeti ya Tanzania siku ya leo Jumatano. Stori kubwa kwenye magazeti ya leo ni ile ya Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kuhoji kwa kupotea kwa mabilioni ya wale waliokiri makosa ya kiufisadi na kulipa pesa kukwepa vifungo.

Huko DPP, POLISI na TAKUKURU kumewaka kama wasemavyo watoto wa mjini. Wewe unaonaje mabilioni yameenda wapi?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *