Habari kubwa Magazetini Tanzania leo Februari 3, 2023

Habari za asubuhi mepenzi msomaji na ni matumaini yetu umeamka salama na nguvu tayari kwa ajili ya mapambano siku ya leo. Haya hapa magazeti tumekuosgezea ya nchini Tanzania kwa siku ya leo ijumaa tarehe 3 mwezi wa pili mwaka 2023.

Na kilichopo kwenye magazeti siku ya leo ni muendelezo wa mjadala wa fedha zilizopotea za “plea bargain” ambapo Zitto amewataka Jaji Mkuu na Biswalo aliyekuaga DPP kujiuzulu mara moja nyadhifa zao.

Kwingineko ni mnyukano wa Waziri wa fedha na Mpima juu ya kupanda kwa gharama za maisha. Kwenye michezo ni rekodi ya mauzo kwenye uzi mpya wa Yanga. Karibu;

V

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *