Mashabiki Wamfokea Meneja wa Yanga

 

Nchi itafutahi….. Mechi kubwa Afrika..! Wananchi watafurahi.

Alivyoandika Privaldinho meneja wa mitandao ya kijamii kutoka timu ya Yanga. Katika ujumbe huo aliambatanisha na picha ya juu mechi yao dhidi ya TP Mazembe itakayofanyika tarehe 19 mwezi wa pili mwaka huu.

Ujumbe huu umekuja ambapo Yanga bado wanakibarua kigumu huko uarabuni. Wengi wamekosea ujumbe huo kwa kudai kuwa umewahi sana.

Huyu hapa Mapung’o yeye aliandika kwa ku-mind kidogo inakuaje Yanga wanagame dhidi ya Monastir ambayo inapigwa wikiendi hii na tayari washakuja na mbango wa TP Mazembe.

Wengine hao wakajaa bana kumpa vidonge vyeke.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *