Mbunifu Jezi za Yanga Afokewa

Wakati wa joto la kutambulisha uzi wa Yanga utakaotumika kimataifa haujapoa baadhi ya mashabiki haswa wa upinzani wamendelea kumfokea Sheria Ngowi ambaye ni mbunifu wa jezi hizo.

Na moja ya kigezo wanachotumia kuwa mbunifu huyo kwasasa hana ubunifu wowote na kwamba hizo jezi zenyewe ni mwendo wa ku-copy na kupaste.

Siku ya jana mbunifu ali-tweet huko Twitter bana kwa kutambulisha kazi yake.

Jamaaa hao hawakuvunga hata kidogo kutia neno kwa ubunifu huo. Huyu hapa Ndunduma aliandika;

Rasi Rasi Rasi, nilikuonya mwanzo, utoe credit ukakaza fuvu, akili ni nywele, sasa ndugu izo rasi zote izo zimekuwa hazina faida sasa, rasi eeh komaa na ushonaji fuvu la design hujui, mkeo bora akukate rasi izo kama delila kwa simon

Akaongeza na hii.

Wengine hao wakaja kama kawa;

Wengine walimtetea bwana unajua sio wote wapinzani na wenye timu yao nao wakaja banaaaa! Na hivi ndivyo walijitutumua kuandika;

We unaonaje ? Unampa marks ngapi mbunifu?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *