Rais Samia Afanya Uteuzi Leo Februari 3

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi wa sehemu mbali mbali.

Uteuzi huo unahusisha REA, EWURA, Kituo cha Uwekezaji, Bodi ya Utalii Tanzania, na Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania

Uteuzi huo ulioainishwa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu ni kama ifuatavyo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *