Simba Hawataboi Club Bingwa- Ngereza

“Simba hawatafanya vizuri Kimataifa msimu huu”

Ni kauli ya Alex Ngereza  mchambuzi mashuhuri wa soka nchini Tanzania akizungumza katika kipindi cha michezo cha luninga ya TV3.

Alex amegusia mwenendo wa kusuasua wa matokeo wanayoyapata Simba hivi karibuni na kutotulia kwa benchi la ufunid ambapo hivi karibuni Klabu ya Simba ilimtambulisha kocha mpya mbrazil na siku kadhaa akaenda likizo. Kupitia account ayke rasmi ya Twitter aliandika

Kauli hii imeungwa mkono na baadhi wa watu mtandaoni. Naye mtumiaji anayekwenda kwa jina la Smeagol aliandika;

Kama ilivyo  kawaida kwenye uwanja wa koment wapo wale waliopinga vikali kauli hiyo ya Alex na kusema kuwa kama Simba itafanya vibaya mbona wako kwenye group stage? Acha basi maneno ya shombo kwa wanasimba yakawatoka bwana kama ifuatavyo;

Wewe pia una maoni gani juu ya alichokisema Alex? Simba watatoboa? Tuandikie…

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *