Gavana wa Bomet Joyce Laboso ameaga dunia.
Gavana amekuwa akipokea matibabu katika ICU jijini Nairobi baada ya kupambana na saratani.
BOMET GOVERNOR Joyce Laboso dies at Nairobi Hospital. pic.twitter.com/7J4H0kLQOu
— The Star Breaking (@TheStarBreaking) July 29, 2019
Madaktari walikuwa wamezuia watu kumtembelea mkuu wa kaunti.
Maelezo zaidi kufuata….