Hatuna Uwezo Kutungua Makombora ya X-22 ya Urusi — Ukraine

Kulingana na Yuri Ignat, msemaji wa Vikosi vya Jeshi la Ukrainia, ulinzi wa anga wa ndani haukuweza kuangusha kombora moja la kirusi la cruise la hypersonic la X-22.

Hata hivyo, alidai kuwa mifumo ya ulinzi wa anga ya Patriot iliyotolewa na nchi za Magharibi iliweza kuangusha mfano tofauti wa kombora la hypersonic, ‘Kinzhal.’

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *