Duale Avuliwa Mamlaka Bungeni

Aden Duale aling’olewa kama kiongozi was wengi Bungeni kufuatia mkutano wa Jubilee kwenye ukumbi was kimataifa KICC.

Kwenye mkutano huo ulioongozwa na rais Uhuru Kenyatta, iliamuliwa kuwa Mbunge wa Kipipiri Amos Kimunya angechukua nafasi ya Duale.

Mbunge wa Eldas Adan Keynan alichukua nafasi ya Katibu wa muungano wa Jubilee ambao ulisimamiwa na Kimunya.

Rais Uhuru alihudhuria mkutano huo na naibu wake William Ruto na viongozi wengine wa Jubilee.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *