Robert Mugabe aaga dunia

Image result for mugabe is dead

Rais wa zamani wa Zimbabwe Robert Mugabe ameaga dunia.

ZimLive wanaripoti kifo cha Mugabe ambaye aliongoza nchi hiyo kwa muda mrefu kutoka 1980 hadi 2017.

Hii ilifuatiwa na risala za rambirambi kwa waziri mkuu wa zamani na rais, ambaye inasemekana aliaga katika hospitali ya Singapore baada ya kupigania afya.

 

Mugabe amefariki akiwa na miaka 95 na viongozi kote duiani na wakaazi wa nchi yake wanamuomboleza.

Habari zaidi kufuatia….

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *