Hatma ya CHADEMA kujulikana kesho Air Tanzania kutua majiji makuu Mo Salah achunguzwa ni Polisi

Hatma ya CHADEMA kujulikana kesho

Chama cha CHADEMA kimesema kwa sasa hakiwezi kuzungumza jambo lolote linalohusiana na sakata la uchaguzi, kwa kile walichodai wanataka kufanya mkutano wa kamati kuu wenye lengo la kutathimini chaguzi hizo na kutoa msimamo wao kuelekea chaguzi zijazo za marudio…Detail<<

Air Tanzania kutua majiji makuu duniani

Katika kuhakikisha kuwa Kampuni ya Ndege ya Air Tanzania (ATCL) inapasua anga kikamilifu, imepanga kuwa ifi kapo 2022, ndege zake zitakuwa zikifanya safari kwenye majiji makubwa ya nchi 16 tofauti duniani…Detail<<

Wabunge mbaroni kwa kushambulia gari la Rais

Baadhi ya wabunge nchini Uganda wanashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kushambulia gari la Rais Yoweri Museveni kwenye uchaguzi mdogo eneo la Arua…Detail<<

Kocha wa Yanga afunguka kuhusu Ajibu kutengwa

Baada ya mshambuliaji wa Yanga, Ibrahim Ajibu kuonekana akifanyishwa mazoezi peke yake tangu ajiunge na wenzake katika kambi ya timu hiyo mkoani Morogoro, kocha mkuu wa kikosi hicho, Mwinyi Zahera raia wa DR Congo amefungukia ishu hiyo…Detail<<

Mohammed Salah achungzwa ni polisi

Mshambuliaji wa Liverpool raia wa Misri Mohamed Salah anachunguzwa na polisi baada ya video yake kuibuka akionekana kuendesha gari akiwa bado anatumia simu…Detail<<

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *