Kangi Lugola: Watanzania ndio waliotulazimu kuweka masharti ya kuondoka nchini;BIBI HARUSI AFIA HOTELINI

Kangi Lugola: Watanzania ndio waliotulazimu kuweka masharti ya kuondoka nchini

Tanzania imeanza kutekeleza agizo linalowataka Watanzania wanaopata kazi nje ya nchi kupata nyaraka kadhaa na idhini kutoka kwa idara ya uhamiaji…Detail<<

BIBI HARUSI AFIA HOTELINI

SIKU za kuaga dunia iliyowekwa na Mungu ikitimia, mja hana hiyari, ataacha vyote na kurejea mavumbini, ndivyo msichana Asha Kilimba (26) ambaye ni bibi harusi mtarajiwa mkazi wa Kinondoni Shamba Jijini Dar, alivyolazimika kuiacha sherehe yake ya ndoa baada ya kukutwa amefariki dunia hotelini…Detail<<

Rashford kama Zlatan Man United

Jose Mourinho amewaziba midomo wachambuzi wa soka wanamponda kuwa hampi kinda wake, Marcus Rashford muda wa kutosha uwanjani ili kuonyesha na kukuza kiwango chake…Detail<<

Baba Diamond Adaiwa Kukataa Mtoto Wake Wa Nje

Baba mzazi wa staa wa Bongo fleva Diamond Platnumz, Mzee Abdul Juma ametupiwa tuhuma nzito baada ya kudaiwa kutelekeza mtoto wake wa nje…Detail<<

Hii hapa Bei ya Mafuta Zanzibar kuanzia August 7, 2018

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma Nishati na Maji Zanzibar (ZURA) imetoa taarifa juu ya bei mpya za mafuta zitakazoanza rasmin kutumika kuanzia siku ya Jumanne ya tarehe 7-8-2018…Detail<<

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *