Chanzo Cha Kifo Cha Mumewe Ruth Matete Chafichuliwa

Uchunguzi wa kifo cha mumewe Ruth Matete umefikia kikomo na chanzo cha kifo chake kimefichuliwa.

Ruth Matete na aliyekuwa mumewe John Apewajowe.

Kulingana na ripoti iliyotelewa Aphamisi jioni, Apewajoye ambaye ametoka nchi ya Nigeria aliaga dunia kufuatia kugoma kwa viungo vya mwili baada ya kuchomeka.

Anasemekana alipata majeraha ya Moto baada ya kulipuka kwa gesi ya kupika nyumbani kwao Athi River.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *