Visa 9 Vya Coronavirus Vyaripotiwa, Vyafika 59

Katibu Mkuu wa wizara ya Afya Mercy Mwangangi amethibitisha kuwa Kenya imeripoti kesi mpya tisa za coronavirus.

Hii sasa inaleta jumla ya idadi ya visa vya Covid-19 hadi 59.

Mwangangi alisema katika masaa 24 yaliyopita, sampuli 234 zimechambuliwa ambapo tisa zimetokea chanya tarehe Machi 31.

Serikali tayari imewasihi wale waishio Nairobi waache kutumbea vijijini kwani wazee wengi huishi hapo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *