Bobi Wine azungumzia kesi ya Stella Nyanzi

Image result for bobi wine and stella nyanzi

Hapo jana, Dkt Stella Nyanzi alipatikana na hatia ya unyanyasaji wa mtandao lakini akatolewa kwa dhamana kwa mwasaliano ya kukera. Unyanyasaji wa mtandao inavutia miaka tatu gerezani au faini ya shilingi milioni 1.4.

Kwa ujasiri mkubwa, Stella Nyanzi aliduwaa mbona korti inaweza fanya jambo lolote kuhakikisha watu wanaomdihaki rais amabye ni dikteta wamefungwa na kufanya lolote kutetea Museveni.

Korti pia ina fursa sahihi ya kufunga watu wanaomkejeli rais na kuwatetea wahuni na walagai kwenye jamii, aongea Stella Nyanzi.

Image result for bobi wine and stella nyanzi

Mbunge Bobi Wine alitoa wazo lake kwa korti na serikali ya Museveni kwa kutowajibika kwa kazi yao na kuendelea kunyanyasa fukara.

“Ninajua kama Nyanzi angekuwa waziri kwa serikali ya museveni angewachiliwa mara moja. Angekuwa ameiba pesa sai hangekuwa kwa jela bali angekuwa na familia yake. Serikali inakimbilia kufunga watu kwa kutumia maneno vibaya kwa kudihaki sera mbaya lakini kusifia wahuni,” Bobi Wine alisema.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *