Linda Ogutu wa KTN alijaza mbwembwe kwenye mitandao ya kijamii ya Twitter Jumatano jioni.
Ogutu aliandika “Mtu anisaidie na kuni imekauka kapsaaaa…. Hi baridi makaa na heater haziwezi….β
Wafuasi walichukua fursa ya kutoa majibu ya kuvutia na kifungu cha kudhani kwamba alikuwa anataka mchumba wa mambo za ngono.
Wafuasi wake walitoa maoni tofauti kuhusu hili na wengi walidhania ni msimu wa baridi na watu wanakaa wawili wawili.
Wacha kuni, Kujia ndizi ya Kisii ndio dawa ya baridi. πππ pic.twitter.com/e4cV8T61zW
— Cyprian, Is Nyakundi (@CisNyakundi) June 26, 2019
0718614288 pic.twitter.com/Ky9Lfipo9N
— Larrie π° πͺ (@Mayodi__) June 26, 2019
kuni ? π€£π€£ni dry spell ama?… anyways pole sana
— 37thblogger (@37thblogger) June 26, 2019
βNajua mahali unaeza Pata Kuni mzuri ..Slide DM we talk business LindaβΒ mmoja alisema.
Msimu huu wa baridi imeleta majanga kwa ambao hawana wachumba na wanajipata wakiegemea upande wa mafuta ya ‘Vaseline’ na sabuni kumaliza mahanjam zao.
Lakini hali ya anga inasemaje sehemu ulipo? kuna baridi au manyunyu za mvua? tupe habari kwenye sehemu ya maoni.