“Ninahitaji watoto wengine watatu,” Bahati amwomba Diana

Related image

Msanii wa Injili Bahati yuko tayari kutekeleza amri ya Mungu kwa mwanadamu kujaza dunia kama maandiko yanavyosema katika Mwanzo 1:28.

Bahati na mke wake Diana wanatarajia mtoto wao wa pili na amekiri kwamba anataka watoto zaidi.

Related image

Aliweka video ya Diana na binti yao Heaven kwenye mtanao wa Instagram ikiwa na maelezo;

“DEAR GOD,
I NEED 3 MORE BEAUTIFUL KIDS LIKE THIS 😍😍😍 MY FANS PLEASE CONVINCE MY BAE @DIANA_MARUA ASICHOKE NA MIMI. (Mola, nataka watoto wengine watatu warembo kama huyu. mashabiki wangu nisaidie kumshawishi mke wangu asichoke na mimi).

Ujumbe huu ulileta hisia tofauti kutoka kwa mashabiki wake na haya ni baadhi ya maoni;

phyllphyll Sasa sekete ndio muichoree time table uko sawa

djsadic Performer

Image result for bahati and diana

weezdommusic @bahatikenya Aky Haurumii mtoto wa wenyewe Diana.. Ata haumpumzishi Ajiwatch kwa #BahatiReality 😩

eng.owadgi_fibi @bahatikenya aka Ken WA Maria najua unataka watoto haraka juu shosh ako karibu na menopause

d_merlaw Hahaha Diana please hubby says 3 more, usibishane mke ni submission 🤣🤣 tukutane labor room🤸‍♀️

Image result for bahati and diana

Bahati kwa sasa ana watoto watatu, mmoja kutoka mpenzi wake wa zamani, mmoja anayemlea kama mzazi na mwengine kutoka ndoa yake na Diana.

 

View this post on Instagram

 

Dear God, I need 3 More Beautiful kids like this 😍😍😍 My Fans Please Convince my Bae @Diana_Marua Asichoke Namimi

A post shared by Bahati (@bahatikenya) on

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *