Kampeni mifuko ya plastiki: Nape, wadau wampa 5 Makamba

Mbunge wa jimbo la Mtama, Mh Nape Nnauye amempongeza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, January Makamba na timu yake kwa namna walivyosimamia zoezi zima la mifuko ya plastiki.

Nape ameyaandika hayo katika ukurasa wake wa twitter na kusisitiza kwamba hatua hiyo ni inaonyesha tofauti kubwa kati ya utawala na uongozi.

Mbali na Nape, watu mbali mbali ikiwemo viongozi mashuhuri kama Zitto Kabwe na wananchi mbalimbali wamempongeza Waziri Makamba juu ya zoezi zima la mifuko ya plastiki hasa hatua yake ya kuelimisha na kuwahamasisha wananchi bila kutumia mabavu.

Hizi hapa ni tweets za watu mashuhuri na wananchi mbalimbali  kumpongeza Makamba;

 

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *