HABARI ZA HIVI PUNDE: Aliyekuwa mwenyekiti wa NLC Muhammad Swazuri akamatwa

Image result for muhammad swazuri

Aliyekuwa mwenyekiti wa Tume ya Kitaifa ya Ardhi Muhammad Swazuri na baadhi ya maafisa wa zamani wamekamatwa.

Polisi wa Tume ya kukabiliana na ufisadi (EACC) waliwakamata maafisi hao kwenye majumba yao asubuhi wa Jumatano.

Maafisa hao wanakabiliwa na shutuma ya ufisadi kutokana na malipo ya ujenzi wa reli wa SGR.

Maelezo zaidi kufuatia…

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *