Kizo B reveals his relationship with Huddah

Image may contain: 1 person, smiling

The ‘Ulinibeep’ hit maker, Kizo B, who is a Kenya based Tanzania musician has revealed how Huddah Monroe helped him to raise musically. Kizo, who has now switched to Gospel Industry, narrated during an interview that Huddah gave him hope to push on when he had nothing.

They both met at a studio called Brimstone where Huddah would buy him food and drinks everyday after sharing his story with her; “Huddah alinisaidia sana. Ndio alikuwa mtu wa kwanza kuchukua ‘ulinibeep’ na kuisambaza kwa watu. Kuna studio inatwa Brimstone hapo Koja na kashop flani walikuwa wanapenda sana kutengeneza juice za maembe.

Hizo time Huddah hakuwa amegrow but she was still beautiful vile ako sahizi na alikuwa anajuana na mabigfish kama kina Kajairo na wengine. Tukakutana nayeye Brimstone nikamueleza shida yangu. Uzuri ni kwamba alikuwa ana kadoo kidogo so for one month alikuwa anatoka mahali alikuwa anatoka maziwa kwao anakuja tao ananinunulia chipo na juice nikule juu ya hio ngoma yangu akisema wewe utatoboa.

Alikuwa anatembea na CD yangu kwa handbag yake, akapea Kajairo. Kajairo after kusikia hio ngoma akatuma Huddah akamwambia nataka kuona huyu msanii, so sikuwa na simu so Huddah kile alifanya kwa sababu alikuwa najua mahali nilipenda kushinda akakuja huko akaniambia saa kumi onana na Kajairo pale Nation Centre anakutafuta.

Image may contain: one or more people, people standing, shoes, tree and outdoor

Kajairo akaniambia unaimba vizuri sana unaishi wapi nikamueleza sina mahali pa kukaa, nalala kwa studio na kwa roundabout pale Koja kabla wabomoe. Akaniambia anaishi hapo pande za integrity Centre if you don’t mind unaeza kuja ukae tuone vile tunaweza fanya music your music. Akaninunulia simu yangu ya kwanza.”

Kizo is doing well musically and has so far done various songs; Raha ndani ya Yesu, Sina wasiwasi, Atatenda atakayo, Neno la Mungu among others.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *