Watanzania Marekani wambana waziri shambulizi dhidi ya Lissu;Mtoto wa Lowassa amkubali Magufuli

Watanzania Marekani wambana waziri shambulizi dhidi ya Lissu

WATANZANIA waishio Marekani usiku wa kuamkia jana walimbana Waziri wa Katiba na Sheria, Prof. Palamagamba Kabudi, kuhusu shambulio dhidi ya Tundu Lissu. Waziri wa Katiba na Sheria, Prof. Palamagamba Kabudi. Septemba 7, mwaka jana, Mbunge huyo wa Singida Mashariki na Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)…Details<<

Mtoto wa Lowassa amkubali Magufuli

KAMPENI za Ubunge katika Jimbo la Monduli mkoani Arusha zimeendelea kupamba moto baada ya wagombea wa vyama mbalimbali na wapambe kupishana majukwaani kila upande ukivutia wananchi wauchague. Mjumbe wa Baraza Kuu la vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)…Details<<

Kauli ya Mwandosya yaibua mjadala

Dar es Salaam. Wanasiasa, wanasheria pamoja na wanaharakati wamemkalia ‘kooni’ Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda wakitaka awajibike kwa madai ya kupoteza uadilifu kusimamia shughuli za maendeleo kutokana na sakata lake la kutaka kusamehewa kodi ya makontena 20 yaliyopo bandarini Dar es Salaam…Details<<

Picha za Uwoya Akila Bata Dubai Zageuka Gumzo Mtandaoni.

Mwanadada Irene Uwoya wiki iliyopita alianza kuonekana yupo Dubai akiwa kama amekwenda kwa ajili ya kupata mapumziko ya peke yake nchini humo, hata hivyo mwanadada huyo amekuwa akionekana kuwa na furaha na kufurahia mapumziko yaeke ingawa katika mitandao ya kijmaii kumekuwa na meneno mengi yanayoendelea katika mitandao kuhusu mwanadada huyo…Details<<

Mhilu alianzisha upya Yanga

Mhilu alikuwa kati ya wachezaji wa kikosi cha kwanza msimu uliopita kabla ya majeraha kumuondoa japo alishaanza kuchanganya chini ya Kocha Mwinyi Zahera. WINGA Yusuf Mhilu wa Yanga, ametamba kurejea katika kikosi cha kwanza cha timu hiyo baada ya kukaa nje kwa muda mrefu kutokana na kusumbuliwa na majeruhi…Details<<

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *