Kalanga alalamika kudhalilishwa na Lowassa;Familia ya Mwalimu Nyerere yaridhia Msitu Wa Mwalimu Kuhifadhiwa

Kalanga alalamika kudhalilishwa na Lowassa

Mgombea wa Ubunge wa CCM, jimbo la Monduli, Julius Kalanga Monduli. Mgombea wa Ubunge wa CCM, jimbo la Monduli, Julius Kalanga amemtaka Waziri Mkuu wa mstaafu, Edward Lowassa aache kumdhalilisha. Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika uwanja wa soko la Mto wa Mbu…Details<<

Familia ya Mwalimu Nyerere yaridhia Msitu Wa Mwalimu Kuhifadhiwa

Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Adam Malima (kushoto) akimkaribisha mgeni wake Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba mara baada ya kuwasili Mkoani hapo kwa ziara ya kikazi ya kukagua, kutathmini na kuzungumza na viongozi…Details<<

Hawezi Kunipa Dozi Tukiwa Faragha..’Mpaka Ashikilie yake Kwa Mkono ndo Inaingia Kwa Shida’

Mimi ni msichana nimewahi kuwa na rafiki wa kiume hapo nyuma, huyo kaka alikua tu kama rafikiyangu baadae ikatoke tukapendana na kuwa mtu na girlfriend wake I mean tulianza kutoka kama wapenzi…Details<<

MBELGIJI AFUTA MABAO YA KAGERE SIMBA

Mbelgiji Afuta Mabao Ya Kagere Simba Meddie Kagere LICHA ya straika wa Simba, Meddie Kagere kufunga mabao matatu mpaka sasa kwenye Ligi Kuu, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Mbelgiji Patrick Aussems amesema anaona haitoshi hivyo anahitaji zaidi ya hayo…Details<<

Mpango kabambe kuondoa foleni za magari Dar waiva

SERIKALI imekabidhiwa mpango kabambe wa mradi wa kuendeleza usafiri katika Jiji la Dar es Salaam utakaogharimu Sh. bilioni 21.4, ambao kukamilika kwake utapunguza kwa kiwango kikubwa msongamano wa magari. Mpango kabambe huo ulikabidhiwa kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais…Details<<

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *