Rais Magufuli kufanya ziara Mwanza TRA yatafanua utata Makontena ya Makonda Zari na Peter wa P SquareMambo ni Moto

Rais Magufuli kufanya ziara Mwanza,Simiyu na Mara

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, atafanya ziara ya kikazi katika mikoa ya Mwanza, Mara na Simiyu kati ya tarehe 03 Septemba, 2018 na tarehe 10 Septemba, 2018…Detail<<

Majaliwa amtwisha zigo RC Makonda

Waziri Kassim Majaliwa amemtwika mzigo mkubwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es saalam kutenga maeno kwa ajili ya wafanya biashara wadogo…Detail<<

TRA yafafanua utata makontena ya Makonda

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imetoa ufafanuzi juu ya maswali yenye utata kuhusiana na sakata la makontena 20 yaliyo Bandari ya Dar es Salaam ambayo sasa yapo mnadani…Detail<<

Rais Mdogo duniani aliyeishi kwa kunywa mataputapu

Enzi zake hakushikika kwa anasa, lakini sasa anakula na kulala kwa mama yake…Detail<<

Zari na Peter wa P Square mambo moto!

Mambo ni moto! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mjasiriamali Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kudaiwa kuwa ‘klozi’ na staa wa muziki kutoka Nigeria ambaye pia ni pacha wa Kundi la P Square, Peter Okoye ‘Mr. P’…Detail<<

Otile Brown amjibu Vera Sidika na kumwonyeha mpenzi wake mpya mtandaoni

Mtandao umetumiwa na Vera Sidika na Otile Brown kukabiliana baada ya penzi lao kuzima na baadaye kutengana…Detail<<

Liverpool kuangukia kundi la kifo?

Majogoo wa jiji Liverpool wapo katika hatari ya kupangwa kwenye kundi la kifo katika michuano ya ligi ya mabingwa barani Ulaya, kufuatia kutupwa katika chungu (Pot) cha tatu, baada ya klabu ya SL Benfica kufanikiwa kufuzu hatua ya makundi usiku wa kuamkia leo…Detail<<

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *