CCM na CHADEMA kupimana nguvu leo Monduli Kamati ya bunge yakataa hesabu za Kyela Visimbusi kuonyesha chaneli za bure Neymar arudi Barcelona

CCM na CHADEMA kupimana nguvu leo Monduli

Vyama vya CCM na Chadema, leo vitapimana ubavu katika uzinduzi wa kampeni za ubunge wa Monduli jijini Arusha katika mikutano miwili tofauti ya kampeni…Detail<<

Kamati ya Bunge yakataa hesabu za Kyela

Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) imeshindwa kupitia hesabu za Halmashauri ya Kyela kwa kuwa zina dosari, ikiwa ni pamoja na kukosekana kwa mchanganuo mzuri wa matumizi ya fedha za elimu bila malipo…Detail<<

Septemba 5 visimbusi kuanza kuonyesha chaneli za ndani bure

kuanzia septemba 5 mwaka huu visimbusi vitaanza kuonesha channeli zote za ndani bila kutoza gharama yoyote kwa mtazamaji…Detail<<

Yoweri Museveni kufuta kazi maafisa wa uchaguzi baada ya chama chake kushindwa

Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameapa kukabiliana na wanachama wa tume ya uchaguzi kwa kuwashutumu kusimamia uchaguzi vibaya…Detail<<

Faiza- Sijaenda Kwenye Msiba Wa Mama Sugu Sababu Alikuwa Hanipendi

Muigizaji wa Bongo movie na mzazi mwenza wa Msanii wa Bongo fleva na Mbunge wa Mjini Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, Faiza Ally amefunguka na kuweka wazi sababu zilizompelekea mpaka kushindwa kuhudhuria msiba wa Mama Mkwe wake…Detail<<

Neno la Akili Kwa Mavoko na WCB…”Kuachana Kwa Chuki sio Mpango”

 wafahamu kuwa Mavoko ana tofauti na wanamuziki wengine ambao WCB inawasimamia. Mavoko ni staa kabla ya WCB…Detail<<

Neymar arudi tena Barcelona

Mshambuliaji wa PSG, Neymar juzi alitua kwenye timu yake ya zamani ya Barcelona na kukutana na wachezaji wenzake wa zamani…Detail<<

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *