Jaji kesi ya billionea Musya atishiwa kuuawa Waziri Lugola aitaka polisi kuwaondoa wananchi waliovamia maeneo ya jeshi CHADEMA waanza kulia rafu

Jaji Kesi Ya Billionea Musya Atishiwa Kuuawa

Jaji Salma Maghimbi aliyesikiliza kesi ya mauaji ya bilionea Erasto Msuya na kuwahukumu adhabu ya kifo washitakiwa watano, ametishiwa kuuawa na mtu asiyejulikana…Detail<<

Waziri Lugola aitaka polisi kuwaondoa wananchi waliovamia maeneo ya jeshi

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amewataka wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama vilivyopo ndani ya Wizara yake kuwaondoa mara moja wananchi wote waliovamia katika maeneo ya majeshi nchini…Detail<<

CHADEMA waanza kulia rafu mapema Monduli

Wakati nyasi za uwanja wa kampeni wa jimbo la Monduli zikisubiri kushika joto kali la msuguano wa hoja kati ya Chama CHADEMA na Chama cha CCM, kwenye uchaguzi mdogo wa ubunge, tayari sauti za kilio cha ‘rafu’ zimeanza kusikika…Detail<<

Ajira 500 mradi wa stedi Dodoma

Miradi ya Stendi Bora Afrika Mashariki na Soko la Kisasa jijini Dodoma, imezalisha ajira takribani 500 ambazo nyingi kati yake zitawanufaisha wakazi wa Nzuguni mahali inapojengwa miradi hiyo…Detail<<

Birdman amuomba radhi Lil Wayne hadharani

Waswahili wanasema ‘utu uzima dawa’. Ndicho kilichoonekana Jumamosi iliyopita kwenye jukwaa lililovuta usikivu wa dunia ya muziki, pale ‘baba’ alipoamua kumuomba radhi mwanaye hadharani ili amani iendelee…Detail<<

Klabu ya Chelsea inauzwa

Billionea mmiliki wa klabu ya Chelsea, Roman Abramovich ameripotiwa kuiweka sokoni timu hiyo na anaiuza kwa Pauni 2 bilioni…Detail<<

Okwi aikosa Mbeya city leo

Mambo yamekwenda ndivyo sivyo kwa straika wa Simba, Emmanuel Okwi ambaye alionekana anaweza kuwa fiti kucheza leo lakini hali yake imebadilika na hatacheza dhidi ya Mbeya City leo Jumatatu kwenye Uwanja wa Taifa, Dar…Detail<<

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *