Tahadhari mlipuko wa Ebola Tanzania Mamba waua watu hamsini Zari amfanyia Diamond unyama

Tahadhari! Mlipuko wa Ebola Tanzania

Serikali imetoa tahadhari kuhusu mlipuko wa ugonjwa wa Ebola nchini baada ya watu 91 kuugua DRC Congo na wengine 50 kufariki dunia…Detail<<

Mamba waua watu Hamsini

Wananchi wameiomba serikali kuwajengea kivuko cha muda kunusuru vifo vitokanavyo na kuliwa na mamba wanapovuka Mto Kikamba…Detail<<

CHADEMA yailima NEC barua

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeiandikia barua Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kikilalamikia kile kilichotokea Korogwe Vijijini…Detail<<

Bobi Wine kufikishwa mahakamani Alhamisi

Uganda. Mbunge wa Kyandondo Mashariki Robert Kyagulanyi ‘Bobi Wine’ anatarajiwa kufikishwa katika Mahakama ya Kijeshi kwa kumiliki silaha kinyume cha sheria…Detail<<

Zari amfanyia Diamond unyama

Hakuna maneno mengine mazuri unayoweza kuyazungumza kusherehesha tukio la mwanamama Zari alilomfanyia mzazi mwenzake Diamond Platnumz katika sherehe ya bethidei ya mtoto wao, Latifah Nasibu ‘Tiffah Dangote…Detail<<

Ajib azaliwa upya, Zahera anena

Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera, amesifia kiwango cha straika wake Ibrahim Ajib ambacho amekionyesha juzi katika mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya  USM Alger ya Algeria…Detail<<

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *