Abiria 60 wanusurika basi likiteketea moto Kigoma

Abiria 60 wanusurika basi likiteketea moto Kigoma

Kigoma. Abiria 60 wanusurika kifo baada ya basi walilokuwa wakisafiria kutoka Kigoma kwenda Sumbawanga mkoani Rukwa kuteketea kwa moto. Akizungumza kwa njia ya simu kamanda wa polisi mkoani Kigoma Martin Ottieno amesema tukio hilo limetokea leo Agosti 20 eneo la Kazurambimba wilayani Kigoma. Kamanda Ottieno amesema kwamba basi lililopata ajali hiyo linamilikiwa na Kampuni Saratoga…Details<<

Rais wa Uganda Museveni anakanusha kwamba Bobi Wine amejeruhiwa

Rais wa Uganda Yoweri Museveni amekanusha kwamba mbunge wa upinzani Bobi Wine amejeruhiwa. Katika taarifa yake ya kwanza kuhusu afya ya mbunge huyo aliyekamatwa na vikosi vya usalama nchini, Museveni amevishutumu vyombo vya habari kwa kile alichokitaja ni kueneza habari zisizo za kweli kuhusu suala hilo…Details<<

Wachezaji Yanga waavunja Ukimya

Wasema wamechoka na propaganda za kurejea kwa Manji .Ni baada ya kugandishwa hotelini kwa saa tatu, wasisitiza wameamua kucheza mpira NA HUSSEIN OMAR WACHEZAJI wa Yanga wamevunja ukimya na kutoa kauli ya kishujaa wakisema wamechoshwa na propaganda za viongozi wao kwa kila mara kuwalainisha kupitia jina la Mwenyekiti wao aliyejiuzulu, Yusuf Manji…Details<<

Kwa ajili ya Familia,Yawezekana Mr blue Akaacha Muziki

Msanii Mr Blue amefunguka na kumshukuru sana mke wake ambae ni mama wa watoto wake kuwa kuwa amekuwa moja ya watu walioweza kumbadilisha sana mpaka kufikia ambapo alipo sasa hivi , sehemu ambayo hata yeye anaona kuwa amebadilika sana. Mr Blue anasema kuwa kutokana na mchango mkubwa wa mke wake katika kumbadilisha….Details<<

Mbelgiji atoa Tahadhari Simba

KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Aussems, amewataka mashabiki wa timu hiyo kutokuwa na matumaini makubwa ya ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, kwani lolote linaweza kutokea. Kocha huyo raia wa Ubelgiji, aliyesema hayo juzi baada ya mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, jijini hapa ambapo timu yake ilishinda mabao 2-1 na kuondoka na ngao hiyo…Details<<

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *