Kofi Anan aaga dunia Samia amwakilisha JPM mkutano SADC Arsenal kujiulia kwa Chelsea leo

Koffi Anan aaga dunia

Aliyekuwa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Koffi Annan ameaga dunia akiwa na miaka 80…Detail<<

Samia amwakilisha JPM mkutano SADC

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan ameshiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Asasi ya Ushirikiano wa Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika(SADC Organ Troika)…Detail<<

Kauli ya naibu waziri ju ya laini za simu yazua mazito

Kauli ya Naibu Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Atashasta Nditiye kuhusu udhibiti wa umiliki wa zaidi ya laini moja ya simu imezua mjadala huku watu wengi wakionyesha kutoelewa dhamira ya Serikali katika suala hilo…Detail<<

Kivumbi cha Trillioni 1.3 kutumika tena

Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) na Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) wiki ijayo zinatarajiwa kuchambua taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka unaoishia Juni 30, mwaka jana…Detail<<

Tumemkosa sana Ommy Dimpoz tumuombee arudi-Nedy Music

Ommy ni mtu ambaye anahitajika sana katika tasnia hii ya muziki wa BongoFleva, minafikiri sio mimi tu ambaye nimemmis bali kila mmoja amemmis sana…Detail<<

Arsenal kujiulia kwa Chelsea

Arsenal inakabiliwa na mtihani mwingine mgumu katika Ligi Kuu ya England pale itakapokuwa wageni wa Chelsea katika dimba la Stamford Bridge leo…Detail<<

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *