Rungwe atabiri ya 2020, huku ‘aamsha’ na waliohama vyama

Rungwe atabiri ya 2020, huku ‘aamsha’ na waliohama vyama

Mwenyekiti wa CHAUMA, Hashimu Rungwe amezungumzia wimbi la wanasiasa kuhama vyama vyao katika kipindi hiki kifupi akidai kuwa wanamaslahi binafsi. Akizungumza hivi karibuni na Radio DW, Rungwe amesema kuwa wimbi hili haliwezi kutishia uhai wa vyama vya siasa nchini kwani…Details<<

Mbunge wa CCM apendekeza Kupitiwa upya sheria ili kuipa thamani Kura

Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye amesema ipo haja ya kupitiwa upya kwa sheria inayosimamia thamani ya kura hasa katika kipindi hiki cha wabunge na madiwani kuhama vyama vyao. Ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Agosti 16, 2018 katika ofisi ndogo za Bunge visiwani Zanzibar katika mafunzo ya siku mbili ya kamati ya uongozi, makamu wenyeviti wa kamati za Bunge pamoja na wajumbe wa tume ya utumishi wa Bunge…Details<<

Ali Kiba asema ‘no’ kushirikiana na Diamond kuangusha kibao

Ali Kiba amesema hamna uwezekano wa kufanya ‘collabo’ na Diamond hii ni baada ya kuhojiwa na kusisitiza hamna anayeweza kumlazimisha kuimba na mtu asiyempenda Ingawa ushirikiano kati ya mastaa wa Tanzania Diamond Platnumz na Ali Kiba unaweza kusababisha mtikiso mkubwa katika anga za muziki…Details<<

Leseni mpya za udereva kutolewa mwezi huu

MAMLAKA ya Mapato nchini (TRA) imetoa ufafanuzi kuhusu ucheleweshwaji wa kutoa leseni za udereva na kusema jambo hilo limesababishwa na mabadiliko ya mfumo wa utoaji leseni ambao hivi sasa unaboreshwa ili leseni ziwe imara na kwamba kazi hiyo itakamilika kabla ya mwisho wa mwezi huu. Akizungumza na HabariLeo jana…Detials<<

Pep: Nataka Man United wasahau ubingwa kabisa

Pep Guardiola ameweka wazi lengo lake akiwa kocha Manchester City ni kuhakikisha anamaliza kabisa utawala wa Manchester United katika soka la England. Mhispania huyo ametoa kauli hiyo wakati Manchester United ikiwa haijatwaa ubingwa wa Ligi Kuu England tangu alipostaafu Sir Alex Ferguson mwaka 2013, lakini wamefanikiwa kunyakuwa mataji mengi…Details<<

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *