Usaliti wazidi kuitafuna Chadema; Yanga kuwasha Mitambo yake leo Moro

Usaliti wazidi kuitafuna Chadema

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA) kimemfukuza uanachama diwani wa kata ya majengo wilaya ya Sumbawanga, Dickson Mwanandenje…Details<<

Ni vita CCM, Chadema Buyungu

WANANCHI wa Jimbo la Buyungu mkoani Kigoma, wanapiga kura kumchagua mbunge huku mchuano mkali ukitarajiwa kuwa kati ya mgombea wa CCM, Christopher Chiza, na wa Chadema, Elia Michael. mgombea wa CCM, Christopher Chiza, na wa Chadema, Elia Michael…Details<<

Yanga kuwasha Mitambo yake leo Moro

YANGA itawasha mitambo yake kishikaji leo Jumapili mjini hapa kwa kuwatambulisha kwa mara ya kwanza wachezaji wao wapya saba kwenye mechi maalum ya kirafiki ya uzito mwepesi dhidi ya Mawenzi FC ndani ya Uwanja wa Jamhuri…Details<<

Binge la Nyau Afunguka Sababu za Kutoka na Khadija Kopa

Msanii wa hip hop, Lameck Philipo maarufu kama ‘Bonge la Nyau’ ametoa sababu ya kufanya mziki na mkongwe wa muziki wa Taarab na anaeendelea kufanya vizuri, Khadija Kopa ambapo amesema lengo ni kuleta ladha tofauti na ile iliyozoeleka…Details<<

Mapya yaibuka kuhusu King Majuto

ZIKIWA zimepita siku mbili tangu msanii maarufu a vichekesho nchini, Amri Athumani, maarufu kama ‘King Majuto’ azikwe shambani kwake Kiruku, Tanga, mambo mapya yameibuka…Details<<

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *