Julius Mtatiro ajiunga na CCM Harmonize alivyofichwa msikitini Polisi yafungua jalada mwandishi kupigwa ni askari

Julius Mtatiro akiaga chama cha CUF na kujiunga na CCM

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha CUF Julius Mtatiro amejivua uanachama wa chama hicho nakujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM…Detail<<

Polisi wafungua jalada mwandishi kupigwa ni askari

Mkuu wa jeshi la polisi ameagiza kufunguliwa kwa majalada mawili kufuchunguza tukio la mwandishi wa habari kuchapwa ni polisi…Detail<<

Harmonize alivyofichwa msikitini

Msanii wa muziki kutoka WCB, Harmonize aka Konde Boy alilazimika kufichwa ndani ya msikiti wa Chuda kwasababu za kiusalama kufuatia idadi kubwa ya watu kumzonga…Detail<<

Mfanyikazi aiba ndege ya abiria na kuingusha Seattle Marekani

Mfanyakazi mmoja wa shirika la ndege ameiba ndege isiyo na abiria kutoka uwanja wa ndege wa Seattle na kuiangusha karibu na kisiwa kilicho karibu…Detail<<

Pogba alianzisha EPL kwa rekodi tamu

Kiungo wa Manchester United Paul Pogba ameweka rekodi katika ligi kuu ya Uingereza…Detail<<

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *