Chadema bado si shwari, mwingine atimkia CCM;

Chadema bado si shwari, mwingine atimkia CCM

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wilaya ya Rungwe, Mbeya kimemfukuza uanachama na kumvua udiwani, Diwani wake wa Kata ya Kambasegela, Kiswigo Mwakalebela kwa madai ya kukiuka taratibu na kanuni za chama hicho…Details<<

Snura apata Ajali ya Gari

MSANII wa Muziki wa Mduara Bongo, Snura Mushi amenusurika katika ajali ya gari mkoani Lindi alikokwenda kufanya shoo…Details<<

Cannavaro alikubali tizi la Mkongo

MENEJA mpya wa Yanga Nadir Haroub ‘Cannavaro’ ametua rasmi kuanza majukumu yake na alipoangalia mazoezi hayo akageuka na kusema vijana wameiva. Cannavaro ambaye amestaafu rasmi soka na kupewa jukumu jipya la kuwa meneja aeta katika kambi ya Yanga juzi usiku…Details<<

Zari Amtumia Ujumbe Mzito Daylan
Siku ya Augost 8 ilikuwa ni siku ya kuzaliwa mtoto wa Mwanamitindo Hamisa Mobetto aliyezaa na mwanamuziki Daimond Platinum aitwaye Daylan…Details<<
Atuhumiwa Kuwatorosha Wanafunzi na Kuwapeleka Dar Wakafanye Kazi za Ndani

Jeshi la Polisi mkoani Iringa linawashikilia watu wawili waliokuwa wakiwasafirisha wanafunzi watano wa shule ya sekondari ya Mlafu kwenda Dar es Salaam kufanya kazi za nyumbani…Details<<

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *