Rais Museveni awasili TanzaniaMarehemu Mzee Majuto kuzikwa leoDembele aikana Arsenal

Rais Museveni awasili Tanzania

 Rais Yoweri Museveni wa Uganda amewasili Tanzania kwa ziara ya siku moja na kupokewa na mwenyeji wake Rais John Magufuli kisha wawili hao wameongozana hadi ikulu…Detail<<

Mwili wa Mzee Majuto watolewa mochwari

Mwili wa marehemu Amri Athumani Majuto umetolewa katika Hospitali ya Muhimbili na kupelekwa katika msikiti wa Masjid Maamur, Upanga,  jijini Dar es Salaam kuoshwa na kuswaliwa kabla ya kupelekwa viwanja vya  Karimjee kuagwa kisha kusafirishwa kwenda kwa maziko Tanga…Detail<<

VATICAN YALIFUNGIA SHIRIKA LA WATAWA

Makao Makuu ya Kanisa Katoliki duniani, Vatican, yameamuru kusitishwa kwa shughuli za Shirika la Watawa wa Mitume wa Yesu na kuliweka chini ya Tume ya Uchunguzi ya Kipapa…Detail<<

Ousmane Dembele aikana Arsenal

Mshambuliaji wa mabingwa wa soka nchini Hispania FC Barcelona Ousmane Dembele amekanusha kuwa katika harakati za kuihama klabu hiyo na kutimkia England kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajli baadae hii leo…Detail<<

Mourinho aamua kuacha kufikiria usajili ‘muda umefika wa mimi kuacha kufikiria hili’

Meneja wa Manchester United, Jose Mourinho amesema kuwa hana uhakika wa kufanya usajili mwingine kabla ya dirisha la usajili halijafungwa saa chache zijazo…Detail<<

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *