Bob Collymore aaga dunia

Image result for bob collymore

Mkurugenzi Mtendaji wa zamani wa Safaricom Bob Collymore ameaga dunia.

Mwenyekiti wa Telco kubwa nchini amekuwa akiugua Leukemia. Collymore alikuwa anapata matibabu Uingereza na Nairobi ambapo ameripotiwa kuugua ugonjwa wa damu aina ya Acute Leukemia.

Image result for bob collymore wife and children

Bob ameacha nyuma mke na watoto wanne. Alikuwa na umri wa miaka 61.

Mawazo na sala zetu kwa familia yake.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *