Aussems kushusha ‘mashine’ mpya tano Simba

Kufuatia kikosi chake kuwa na mapungufu kadhaa katika idara ya ulinzi hususani kwenye michezo ya kimataifa,…

Kindoki mbioni kuondoka Yanga, klabu hii ya Tanzania inamuwinda

Taarifa kutoka ndani ya Walima Alizeti, Singida United zinaeleza kuwa klabu hiyo ipo mbioni kuwania huduma…

Mashine hii ya KI-IVORY COAST ndiyo mrithi wa Juuko Simba

Huku purukushani za usajili zikiwa zimeanza kupamba moto kwa vilabu vya soka hapa nchini hususan Yanga…

Simba kimya kimya usajili, waanza na hawa hapa

Baada ya mahasimu wao wakubwa Yanga kuanza usajili kwa kasi kubwa kuelekea msimu ujao wa Ligi…

APR wakisanua usajili wa Bigirimana Yanga

Kufuatia klabu ya Yanga kutangaza kumsajili nyota kutoka APR ya Rwanda Issa Birigimana, Katibu Mkuu wa…

MO Dewji akata mzizi wa fitna usajili wa Ajibu Simba

Mwekezaji ndani ya klabu ya Simba Mohamed Dewji ‘Mo’ ameizungumzia ishu ya Ibrahim Ajibu kuhusishwa kurejea…

MO afunguka usajili Simba

Mwekezaji wa klabu ya Simba Mohamed Dewji almaarufu Mo amesema kwa sasa wanajiapnga vyema kuhakikisha wanawabakisha…

Wanne wa kigeni, watatu wazawa panga linawahusu Simba

Taarifa kutoka klabu ya Simba zinaeleza kuwa uongozi wa klabu ya Simba uko mbioni kuwatoa kwa…

Nyota hawa wa Yanga hatima yao haijulikani

Amissi Tambwe Ni mchezaji ambaye misimu miwili nyuma alikuwa akifanya vizuri sana, amewahi kuibuka mfungaji bora…