TRA Yatoa Taarifa, Wadau Wawatolea Povu

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeongeza muda wa kuwasilisha ritani na malipo ya VAT.

Taarifa iliyotokewa na TRA jana Februari 20 imesema, Kamishna Mkuu ameridhia kuongeza muda wa uwasilishaji kufuatia maombi ya walipakodi.

TRA imewataka wahusika watumie muda vizuri kwa kuwasilisha ritani na kulipa kodi husika ndani ya muda.

Baadhi wa wadau na wahanga wa changamoto mbalimbali za mfumo wa ulipaji kodi wametoa malalamiko yao, yasome hapa chini;

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *