Air Tanzania Yamwaga Ajira Zaidi ya 130

Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) limetoa nafasi mpya za ajira zaidi ya 130 katika kada tofauti tofauti na kuwataka wenye vigezo kutuma maombi yao.

Nafasi hizo zilizotolewa leo Februari 15 ni pamoja na Cabin Crew II nafasi 90, Flight Operations assistant II nafasi 7, Senior Pilot I (Captain) nafasi 17, Pilot II (First Officer) nafasi 17 na Procurement Officer nafasi nne.

Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 26 Februari mwaka huu. Bofya Hapa kupata Maelezo zaidi ya vigezo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *