Wabunge Wamtisha Mkuu wa Kanisa Kukubali Ushoga

Mkuu wa Kanisa la Anglikana alisema kwamba wabunge walimtisha katika jaribio la kulazimisha ndoa za watu wa jinsia moja baada ya Sinodi Kuu kuidhinisha baraka ya miungano hiyo lakini haikubadili fundisho kwamba ndoa ni muungano wa mwanamke na mwanamume.

Justin Welby aliripotiwa kujibu kwamba bunge halitawaamuru makasisi kuhusu suala la kubariki wapenzi wa jinsia moja. Hata hivyo, alibainisha kuwa uamuzi wa sinodi hiyo unaweza kusababisha mgawanyiko katika kanisa hilo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *