Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 13, 2023

Habari za asubuhi ndugu msomaji, tunatumaini umeamka salama na unaendelea vyema kupambana na majukumu yako ya kulijenga taifa kuwa lenye nguvu kiuchumi pamoja na mambo mengine tele.

Tumekuletea vichwa mbalimbali vya habari kutoka kwenye magazeti yote makubwa ili kukuhabarisha kile kinachojiri nchini Tanzania. Katika magazeti yote siku ya leo ni kushushwa kwa meli mpya ndani ya Ziwa Victoria inayokwenda kwa jina la Hapa Kazi tu, pia kuna stori ya Rais Mwinyi kukagua bei ya vyakula dukani na nyingine nyingi.

Karibu;

        

   

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *