Wadau Watoa Povu Dereva Aliyegoma Kusimama Kukamatwa

Hivi karibuni kumekua na Clip ya video iliyosambaa ikimuonyesha Askari wa Usalama wa Barabarani akilisimamisha gari lakini dereva wa gari hilo alionekana kukaidi na kuendelea kuendesha gari huku akipiga honi

Leo Februari 10, Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Jumanne Sagini, ameagiza kukamatwa na kunyang’anywa leseni dereva huyo aliyeonekana kwenye video iliyosambaa.

Kufuatia tamko hilo, watu wamefunguka maoni yao huku wakiwa na mitazamo tofauti tofauti baadhi wakiunga mkono hatua hiyo huku wengine wakiiponda. Hapa chini nimekuekea maoni ya wadau hao.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *