Rais Samia Afanya Uteuzi Leo Februari 9

Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Mh. Samia Suluhu leo Februari 9 amemteua  Bwana Epraim Balozi Mafuru kuwa Mtendaji Mkuu wa Kituo Cha Mataifa cha Mikutano Arusha AICC.

Bwana Marufu alikua Mkuu wa Masuala ya Biashara katika kiwanda cha Sukari cha Kilombero, Morogoro kabla ya uteuzi huo.

Taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu inasema uteuzi huo umeanza Februari 8, 2023.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *