Mbunge Suleiman Dori Aaga

Image
Mbunge wa Msambweni, Suleiman Dori ameaga dunia. Kwa mujibu wa jamaa zake, Dori alifariki akipokea matibabu katika hospitali ya Aga Khan Mombasa. Chanzo cha kifo chake hakijathibitishwa, hata hivyo, maelezo kamili yanatarajiwa hivi punde.

Alikuwa amechaguliwa kwa tikiti ya chama cha ODM.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *