Al-Shabaab Washambulia Basi Mandera

Wanamgambo wanaoshukiwa kuwa Al-Shabaab walivamia basi lilolokuwa na abiria katika eneo la Laanfin, katika kaunti ya Mandera mnamo Jumatano asubuhi.

Kulingana na ripoti katika vyombo vya habari, basi hilo lililkuwa likitoka Mandera kuelekea jiji la Nairobi.

Basi hilo ni la Kampuni ya Basi la Moyale Raha.

Mashambulizi ya awali yamekuwa yakilenga wasio wenyeji wa eneo hilo.

Mengi kufuata…

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *