
Mwakilishi wa wadi kwenye kaunti la Kiambu ameaga dunia.
MCA huyo wa Kahawa-Wendani Cyrus Omondi alipatikana amekufa katika chumba chake cha hoteli baada ya wabunge wa Kiambu kwenda kufanya semina huko India.
Mwakilishi wa wadi ya Witeithie Julius Taki amethibitisha habari hii.
Habari zaidi kufuatia…