Daniel Moi Atazikwa Kichwa Chake Kinatazama Mashariki

Mazishi yatakuwa mchanganyiko wa mila za Kikristo na zile za Kalenjin.

• Tamaduni ya Kalenjin inaaelekeza kichwa chake kilazwe akiangalia mashariki penye jua huchomoza. Mazishi ya Kitamaduni inngefaa ifanyike Usiku, kwa hivyo angeamkia jua. Lakini kwa kuwa alikuwa Mkristo atazikwa mchana, akiangalia jua.

Kulingana na desturi kali ya Kalenjin, rais huyo wa zamani angefaa azikwe usiku, kwa hivyo ‘angeamka’ jua.
Walakini, kwa vile Moi alikuwa Mkristo hodari, dini lake litaheshimiwa. Kutakuwa na maafikiano machache, hata hivyo.

Katika mazishi Jumatano wiki ijayo, tamaduni chache zitatambuliwa kutokana na hadhi ya Moi katika jamii ya Kalenjin

Kanu chairman for Uasin Gishu David Chepsiror with Charles Tanui (R) speaking in Eldoret on February 6.
Mazishi: Kamati ya Wazee Wa kalenjin wasema watufuatilia kanuni za wakisristo and Kimila kumzika Moi

“Hiyo inamaanisha kwamba Moi anapaswa kuzikwa mchana kabla ya jua kutua. Hata hivyo, atazikwa mchana,”Mwenyekiti wa Halmashauri ya Kalenjin John Seii aliiambia Star.

Mazishi ya Moi yataonyesha mazoea ya Kikristo, Kalenjin na serikali – ingawa mazoea ya Kikristo itaonekana zaidi.

“Utamaduni umeendelea kufifia lakini tunalazimishwa kuachana na mazoea kadhaa. Mazishi ya watu wetu sio jambo la kawaida au la kikabila lakini kwa suala hili ni suala la kitaifa, “Seii alisema.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *