Serikali Yatangaza Siku Kuu Kuomboleza Kifo cha Moi

Waziri wa Usalama wa Ndani Fred Matiang’i ametangaza Jumanne, Februari 11, kuwa likizo ya umma.

Hii ni kuwezesha Wakenya kushiriki katika hafla ya kuomboleza kifo cha aliyekuwa rais wa pili Mzee Daniel Moi.

Hayati Mzee Daniel Moi katika hafla ya awali.

Tangazo hilo lilitolewa Alhamisi na Mkuu wa Utumishi wa Umma Joseph Kinyua.

Moi alifariki akiwa na umri wa miaka 95 baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *